
Los Angeles USA na itaonyeshwa duniani kote. Washindi Wengine ni: The Black Pot alichukua tuzo ya “Favorite Online TV Show” wakati star wa “Silence Le Pure” Marie Solo alichukua Favorite Screenwriter, nakufanya kuwa ushindi wake kwa mara ya tatu wa NAFCA. Palava ya Monicazation amechukua “Favorite Music Video” na vipengele vingine ni pamoja na Director (Kelechi Eke) na Favorite Promising ilienda kwa Mkenya na muigizaji anayechipukia ni Clarice Otieno ambae aliongoza kwa kutokea kwenye vipengele vingi zaidi, film The Other Tribe produced and directed by Kelechi Chijindu Eke.
