Nyumba hiyo ipo katika mlima katika mji mdogo huko Los Angeles, na nyumba hiyo thamani yake ni dola milioni 20 E! News imeripoti.
Taarifa zinasema kwamba nyumba hiyo ina eneo la hekari 3.5 , mabwawa mawili ya kuogelea, spas na sehemu ya kutengeneza wine (Vineyard).
Habari hiyo imekuja wiki chache baada ya kutoka taarifa ikisema kwamba wawili hao walikuwa wakitafuta mtu wamuuzie mali ya Bel-Air kwa dola milioni 11.
E! News pia wanasema kwamba kutokana na chanzo kisichofahamika ambacho kimesema kwamba Kanye na Kim walitaka sehemu yenye eneo kubwa zaidi kuliko nyumba yao ya Bel-Air , kwa hiyo watakuwa na nyumba mbili sasa, lakini watauza moja alafu watahamia ile ambayo ipo kwenye milima iliyojificha.
Hiyo iliyopo kwenye milima iliyojificha itawafanya wawili hao kuwepo katika bonde la jiji dogo la San Fernando kama mama yake Krdashian Kris Jenner.
E! inasema kwamba chanzo hicho cha taarifa hii kiliongeza kwamba manunuzi hayo yalichangiwa kwa kuwa sehemu hiyo ina usalama na hakuna watu imetulia sana pia kwa sababu wanahitaji privacy.
Mapema leo TMZ ilitoa kipande kutoka kwenye rekodi ya kesi ya Kanye West ya kumshambulia mpiga picha kipande ambacho West analalamika kwamba hawawafanyi fresh watu maarufu.
Kanye West amesema watu maarufu hawafanyii fresh kabisa watu maarufu nchini Marekani, watu maarufu waungane wasikubali kufanyiwa kitu kama alichofanyiwa,, kama watu maarufu inatakiwa waungane na kuwafanya mtu kama Yule mpiga picha waangalie sehemu za kupiga picha saa nyingine mtu hataki kuonekana, tena anajaribu kushindana nae anataka kupata hela kutokana na tukio lile.
Kanye West Na Kim Kardashian Wanunua Nyumba Ya Dola Milioni 20
Related Posts
-
-
Rihanna Afikisha “Views” Bilioni Nne Youtube
-
Ile Tamthilia Ya Joto Hasira Yaendelea Ambapo Episode Hii Staring Lady Jay Dee Afikishwa mahakamani Leo
-
Rihanna Alienda Kwao Barbados Kula Christmas, Looking Sultry In Bikini! Lol
-
PICHA: LADY JAY DEE AKIWA MAHAKAMANI LEO
-
Ujumbe wa Mwana FA baada ya Video yake ya Bila kukunja Goti kukubalika viwango vya kimataifa
-
Picha 3 Amaizing Za Victoria Kimani Hizi Hapa