It is holiday season watu wengi duniani kote wengi wao wako katika mapumziko ya mwisho wa mwaka, hilo liko wazi wewe mwenyewe hapo utakuwa unatamani sana unakaribia uende mapumzikoni, au upo mapumzikoni au \boss amebana hakuna likizo pole sana.
Lakini kwa mpenzi wa zamani wa Chris Brown baby girl Karrueche bado anaonyesha mwili mzuri wakati akiwa mapumzikoni huko Miami…Karrueche you look good bae…..much kisses LOL! Check picha