Mchekeshaji wa kimarekani anayetamba kwasasa baada ya Martin Lowrence amemchumbia mchumba wake wa siku nyingi Eniko Parrish, Kevin alicchumbia mchumba wake huyo jana ikiwa ni siku yake ya kuzaliwa akitimiza miaka 30
Kevin alishare picha za za tukio hilo kupitia instagram na kuandika:
“Happy Birthday to the most amazing woman in the world. Today is your day babe & we are going to party like it’s 1999….I love you so much. I’m a better man because of you.
Alafu akapost picha nyingine na kuandika “She said Yessss!.. #Happy #MyRib #iFuckingLoveHer
Hongera kwao lakini moja kati ya watu ambao hawatapendezwa na taarifa hizi ni Mtalaka wake ambaye wamezaa watoto wawili Torrei Hart, ambaye amemlalamikia kevi kuwa alianza kutoka nje ya ndoa na mwanamke huyo kwa kipindi kirefu sana wakiwa ndoani, hata hivyo mtalaka huyo wa kelvin aliwahi kuzungumza katika interview moja kuwa wanaume weusi marekani hupenda ku date wanawake weupe mara tu wanapoanza kupata mafanikio
Kevin Hart Akiwa na mkewe wa zamani na wanawe
“Honestly, it wasn’t all Kevin’s fault. I won’t say it was all his fault. Cause I look back now and I take ownership of some of the things I could’ve did differently. But, I did question my beauty. I did question like, wow, why is it that all black men, when they reach a certain level, they have to feel like they need someone of another race, or a different skin tone on their arm? And I’m just like, well why aren’t we looked at as beautiful? We’re beautiful black queens! You know what I mean? And I love my black men.
You know and I support them 100% And I don’t feel like, once I make it, I gotta go to the other side! You know? And not saying, cause I’ve dated outside my race, I have, but I just don’t feel, like I need it on my arm to feel better about myself. And I just feel like, sometimes our men do.”
1 Comment
[…] post Kevin Hart Amemchumbia Mpenzi wake, Huku Mke Wake Wa Zamani Akilaumu Wanaume Weusi Wamarekani Hupend… appeared first on Salma Msangi […]