Tupac ni repa ambaye alikuwa na ushawishi mkubwa sana kwa vijana nchini Marekani na duniani kabla ya kifo chake mwaka 1996, Baada ya kifo cha Tupac, Repa kutoka Brooklyn, Beyonce hubby Jay Z yeye ndio amekuwa repa mwenye ushawishi kuliko dunaini hilo halina ubishi.
Wikiendi hii kuanzia tarehe 6 Jumapili hadi Jumanne 8, siku tatu mfululizo kupitia channel ya National Geographical itakuwa ikionyeshwa makala kuhusu Tupac kwa masaa mawili kila siku kwa siku tatu kuanzia saa 3 usiku, makala hayo ni ya masaa sita.
Kipande cha makala hayo hayo atahusika muongozaji maarufu wa filamu kutoka 2 of Amerika Most Wanted anaitwa Gobi Rahimi ambaye alikuwa na Tupac usiku ule ambao alifariki hospitali Las Vegas.
Baada ta Tupac kuwa ameshutiwa Rahimi anasema yeye na memba wa Outlawz walirudi kumuangalia Tupac alikuwa amejeruhiwa, Nadhani walikuwa na silaha ndani ya gari yao , kwa sababu muda wote tukiwa walikuwa na hofu , yeyote aliyemuua Tupac alikuwa arudi kummalizia kabisa, Alisema Rahimi.
Memba wa Outlwaz E.D.I Mean kuna sababu kwanini kifo cha Tupac mpaka leo kuna maswali mengi hakuna ukweli.
Vyombo vya dola nchini havikuwa vinampenda Tupac , kweli kabisa uhakika wanajua kilichotokea, hi indo Maerekani, tulimpata Bin Laden.
Alisema.
Kuna stories kwamba baada ya kifo cha Tupac, hakuzikwa ila alichomwa na baada ya kuchomwa, membaz wa Outlawz wakina E,D.I Mean, Gaddafi, Sadam Hussein walichukua majivu ya mwili wa Tuapc na kusmoke kuonyesha kwamba wanamkubali sana mshikaji.