Angalia Kilimanjaro Tanzania Music Awards 2014 Jumamosi 3 May 2014 kunzia 5:30 PM. Usikose kuona na Jokate, Millard Ayo, Sam Misago na mimi mwenyewe Salma Msangi.