Kumekuwa na tetesi kuwa Kanye West Na kim Kardashian Wamefunga ndoa yao ya kwanza kimya kimy huko parasi Ufaransa na maneno mengine kama hayo,
Ahsante kwa mitandao ya kijamii iliyotuweka karibu zaidi na hawa watu ambao sasa wanaweza kuzungumza nasi moja kwa moja kwa kuweka maujumbe yao hayo
Kupitia Tweeter yake Kim Kardashian Amekanusha Tetesi Hizo