Baadhi ya watu wanadhani kuvaa vizuri na kubadilisha na kuwa na nguo mpya kila siku au mpaka uwe na rundo la nguo.
Si kweli.
Kuvaa ni ubunifu wako mwenyewe kwa jinsi utakavopangilia nguo zako kwa kuzichanganyanya katika style tofauti tofauti na hata ukaonekana una nguo nying kumbe ni nguo moja tu unacheza nayo na Ukaenda na wakati vile vile.
Watu wengi wamekua wakiniuliza maswali: Hivi salma kabati lako ni kubwa kiasi gani? Basi leo nawajibu wala si kubwa hivyoo
Tazama picha zangu nitakupa na maelekezo
Hapa Hii Skirt Nyekundu ni moja nimeivaa mara tatu
Hapa hii skirt Nyeusi ni moja
Hapa ni Skirt ya Blue ni moja hiyo
Hiyo Skirt Nyeusi ni Moja, Tena nyeusi ndio huwa inakomaga naona nimeshaivaa kama mara hamsini.
Hapa ni Hilo Shati la Jeans, Utalijua sasa kila kwenye nguo yake linaonekana kama ni lingine.
Hicho kikoti cha kanga, kama utagundua na gauni nililovaa na shati ya jeans ndio nililovaa pia hapo nilipovaa na kishati cha Kanga
Hiyo Top ya Orange
Hapa ni hili Shati jeupe lingeweza lingeongea..Umeshawahi kuona nguo nyeupe inapauka basi hilo linaelekea huko maana mpaka beach limevaliwa
Mara nyingine nitawaletea namna ya kuvaaa nguo hiyo hoyo moja uivae ofisini na ikae kiofisi, uifae katika mtoko wa usiku na iende, uivae casual tu ki week end iende au hata.
Wanasema kuvaa kipaji kweli?
Kama kweli basi na wenye vipaji watufunze.
[RoyalSlider Error] Incorrect royalslider ID in gallery shortcode (or in Global, or problem with query.
4 Comments
i just love the somo….and unapendezaje sasa Salma Msangi…
thank u mamie
Umependeza sana ..
ahsanteni wapendwa @msepeto @sandy
Wow, yani salma wewe tokea zamani mambo yako yakiutundu!! Umependeza sanaaa, keep it up dear.