
Pope Francis Ambaye kwa sasa yupo nchini UPhilippines Alisogea na kweda kuwakumbatia watoto wawili ambao mmoja wao alimuuliza swali Pope Francis kuhusu kwanini Mungu Anaruhusu watoto wadogo kutumikishwa katoka biashara ya ngono?
Mtoto Huyo Glyzelle Palomar mwenye miaka 12 Ambaye yupo katika huduma ya matibabu kuondokana na changamoto za maisha zilizomkumba zikijumuisha Ukahaba na Madawa ya kulevya alimuuliza Pope huku akibubujikwa na machozi
“Watoto wengi wamekuwa wakijihusisha na madawa ya kulevya na ukahaba,Kwanini Mungu anaruhusu Haya Kutokea kwetu? Watoto hawana makosa yeyote”Palomar alesema wakati wa kusoma rislaa mbele ya pope katika kanisa la Catholic
Pope Francis ambaye hakupata jibu la haraka kwa swali hilo alikwenda na kumkumbatia mtoto huyo aliyekuwa na mwenzake , baadaye alijibu kwa kusema
“She is the only one who has put forward a question for which there is no answer and she was not even able to express it in words but rather in tears. I invite each one of you to ask yourselves, ‘Have I learned how to weep, how to cry when I see a hungry child, a child on the street who uses drugs, a homeless child, an abandoned child, an abused child, a child that society uses as a slave?” He said
