Mama wa star wa filamu na kipenzi cha wengi duniani muigizaji Sylvester Stallone aka Rambo ameonekaha hivi karibuni akiwa na muonekano tofauti na kwamba kafanya kila jambo kukimbia uzee.
Mama Mzazi wa Mcheza Movie Za Action Rambo katika muonekano wake wa ujana baada ya upasuaji
Hakika Uzee Noma Na Kila Mwanadamu Asingependa Kuufika
Mama huyu mwenye miaka 92 amefanyiwa Upasuaji Wa Kubadili Surana kuwa na muonekano wa msichana Mdogo na mwenye mvuto zaid?
Swali laja kinachozeeka hasa ni nini na je inamsaidia nini kuoneka kijana ilhali kihalisia kila kitu katika mwili wake kimeshachoka?
Au pia anauwezo wa kubadili hata Viungo Vingine Vya Ndani?
mmh Haya Nayo Ya Malimwengu