
Ameandika katika ukurasa wake wa tweeter kuwa ni mwaka sasa tangu ameondoa maziwa yake bandia aliyokuwa ameyaweka kwasasa Karen Amefunga ndoa yawezekana sasa karen anajiandaa kuwa na familia hiyo inambidi kuwa na maziwa ya kawaida na kuachana na ujana
Karen amefurahia kuwa huru kutokana na kuondoa maziwa hayo ya bandia kifuani mwake
