Kweli Pesa wazimu, pesa zikikujaa watamani ufanye kija lambo hata lile lisilo bora kwako, hebu mtazame mwanadada huyu mahiri katika miondoko ya kufoka foka kule marekani jinsi Nick Minaj jinsi anavyopendeza akuwa katika hali ya uhalisia katika kichwa chake,
Ameonyesha nywele zake halisi bila mawigi yake ya rangi rangi aliyozoea kupitia ukurasa wake wa Instagram jambo lililovutia mitandao mingi duniani ku post picha hizo
unaweza kujiuliza yale mawigi jamani anayowekaga ni yanini?
Mie naweza sema ni Wazimu wa pesa tu zikikujaa watamani fanyia kila jambo
Picha:Nick Minaji katika muonekano akiwa Na Na nywele zake za Asili