Mama yake Kim Kardashian anaitwa Kriss J
Swag sasa hivi kwa mastaa na hata watu wasio mastaa kukaa uchi imekuwa fresh tu, Riri amekaa uchi sana mpaka instagram wakaamua kumfungia account yake, Nchini Nigeria siku za nyuma alishajitokeza dada mmoja akasema Rihanna ndo amemuiga kukaa uchi baada ya watu kumwambia amemuiga Rihanna.
Kim Kardishian kwa sasa ndo yuko kwenye headline baada ya kuonekana mara nyingi akiwa uchi, juzi kati akiwa anamsukuma mtoto wake huku akiwa hajavaa sidiria (bra) matiti yakiwa yanaonekana alimake headlines kwenye vyombo vya habari.
Like mama like Daughter
Acha hilo juzi kati akiwa katika sehemu ambazo bado anakula fungate (honeymoon) mwanadada amekuwa akipost picha ambazo zimekuwa zikiongeza mapigo ya moyo kwa watoto wa kiume baada ya kuona her sex body.
Tena Katika muendelezo wa kuendelea kula fungate wiki iliyopita akiwa nchini Mexico alionekana kwenye swimming pool na nguo aliyokuwa amevaa ilionesha matiti yake kabisa.
Mama yake Kim K mwenye miaka 59 nae hayupo nyuma ameonesha matiti yake wakati wakipiga the sex pool photo shoot, Ni mwanamke mzuri bado, lakini umri wake unamruhusu kufanya hivyo kuonyesha matiti? Majibu unayo.