Hii ni official video ya ngoma mpya ya Linah “No Stress” , audio nayo imetoka siku ya jana Ijumaa 31 /07/2015, audio still fresh na video still fresh imesimamiwa na Godfather Production Afrika kusini kule kule alipofanya “Oletembala” – chukua dakika zao 3 na sekunde 38 kucheck kichupa hiki…..