Ilimchukua Miaka Kim Kardashian Kuota Ndoto Ya kuuza juu ya Cover La Jarida La US Vogue
Laki ndio ujue mungu akitaka kukupa ahakuandikii Barua
Ikiwa ni kipindi cha muda mchache tangu aingie na kujulikana katika ulimwengu wa filamu duniani, Mshindi Wa Tuzo ya Oscar mwaka huu kutoka katika Movie ya 12 Years A slave Lupita Nyong’o ndio next Issue ya Jarida la Us Vogue la mwezi July
Hiyo ni dili kali sana kutokea kwa mwanadada huyo, kuna mastar wakubwa duniani bado wapo na wanaota kutokea katika jarida hilo lakini yawezekana bahati haijadondokea kwao bado
Kumbuka,”No Matter Where Are Coming From, Your Dream Are Valid”