
Wananchi mbali mbali na wadau wa muziki wamejitokeza leo asubuhi katika viwanja vya Leaders Club jijini Dar Es Salaam kutoa heshima zao za mwisho kwa Msanii Albert Mangwe aliefariki Nchini Afrika Ya Kusini wiki iliyopita.
Baada ya ya heshima za mwisho kukamilika saa saba kamili safari ya kuelekea Morogoro kwa ajili ya Mazishi Kesho.
