
Mariah Carey anadhani kwamba yeye na Jermaine Dupri urafiki wao umekuwa mzuri zaidi studio kuliko ofisini, Kuna neno kwamba Mariah Carey amemtumia JD kuacha kuwa meneja wake baada ya project yake ya mwisho ya “Me, I Am Mariah”, “Me” I Am Mariah” iliuzwa Copies 103,000 tu toka mwezi Mei 27.
Jermaine na Mariah wamefanya kazi pamoja kwa muda wametengeneza nyimbo kama “always Be My Baby” “Don’t Forget About Us” “We Belong Together” na “Sweetheart” lakini mpango haujawa mzuri wakiwa wakati akimtengenezea ngoma lakini baada ya kuwa na meneja na kufanya akiwa kama meneja mambo yamekuwa sio katika maisha ya muziki, Jermaine Dupri alikuwa meneja wa Mariah Carey Octoba 27 mwaka jana.
Mariah Carey amemtema Jermaine Dupri kwa habari ambazo zimetoka leo Agosti 7 Agosti 2014.
