Mariam Yahya Ibrahim Mwanamke wa kisudani aliyewahi kuhukumiwa kifo huko sudani kuwa kuasi dini yake baada ya kuolewa na mwanaume Mkiristo ametua katika uwanja wa ndege huko Italy jana 24july akiwa na watoto wake wawili pamoja na Naibu Waziri wa mambo ya nje wa Italy wa Italy Lapo Pisteli
Akiongea na waandishi wa habari katika uwanja wa ndege wa Ciampino Rome Italy asubui ya jana Pistelli alisema serekali ya Itali bado ipo kwenye maongezi na Sudan lakini hakutoa maelezo ya kina juu ya hifadhi ya mwanamke huyo na usalama wake kutoka Sudan
Mariam alipokelea Nchini Italy na Waziri mkuu wa nchi hiyo Matteo Renziw
Tazama Picha Hapa