Mashabiki wamemcharukia mpenzi wa Chris Brown, Karrueche Tran baada ya kuzungumza mbaya kuhusu nywele za mtoto wa jay Z Na Beyonce Blue Ivy Live akiwa anatangaza kwenye luningani BET kwenya kipindi cha 106 and Park
Kituo hicho cha BET kilimscript Karrueche atangaze ni vitu kagi sita muhimu mtoto huyo wa bey Ivy alikua anaviwaza wakati akiwa katika stage na baba yake wakati anamkabidhi tuzo ya ya 2014 mtv Music Video, kwa video yake ya Michael Jackson Video Vanguard
akiwa anasoma kutoka kwenye teleprompter, Karrueche alitania kwa kusema na namba sita kitu ambacho Blue Ivy alikuwa anakiwaza akiwa kwenye stage na baba yake ni “Kwakweli nimeamka tu kama mnavyoniona kwasababu wazazi wangu wamesahau kunichana nywele zangu”
“I really did wake up like this because my parents don’t comb my hair.”.
Kama waliliona ni jambo la kawaida ama la kuchekesha kwakweli walikosea sana kwasababu baada ya hayo hiki ndicho kilichofuata kwa mashabiki wa wazazoi wa ivy na ofcause watu wenye hisi na watoto
Karrueche alijitetea kuwa BET ndio walimfanya aongee hivyo, Hata hivyo mashabiki hawakulitilia mananii