
Kazia hapo hapo ulipo kazia kazana watakuewela tu juhudi jitihada na kushikilia jambo lako kwa umakini utafika na ulimwengu utakutambua tu…. Usilazimishe mambo fanya jambo litakalokutambulisha acha watu wakukubali usitumie nguvu maana mtafuta heshima kwanguvu siku zote hulipwa dharau kwa bei nafuu
Mwana Riadha Usain Bolt amekuwa dill kubwa duniani baada ya kukazia pale alipoona ndio kipaji chake kilipo, msataa wakubwa kama wanasoka na wanamuziki waliotangulia kwenye ustaa na kukomaa humo wanamuheshimu na katika kudhihirisha hilo picha hizo wamekuwa wakizi post kupitia kurasa zao katika mitandao yao.
Storyni Van Persie au Didy kupost picha yake pamoja na Usain Bolt, angepost Usain hiyo ingekuwa ni kawaida
Kazia Utasomeka tu.
HAPA VAN PERSIE ALIANDIKA “INCREDIBLE WELL DONE USAIN BOLT! ATHLETE OF THE YEAR FORFIFTHY TIME”
DIDY ALIANDIKA “S/O TO THE FASTEST MAN IN THE WORLD MY BOY @USAINBOLT” waweza mfollow Insta kwa account hiyo
