Nina Wasi Wasi na haya majarida ya nje kwasasa, nahisi biashara yao ipo kwenye picha za utupu za mastar kwa sasa
Majarida haya yamekuwa yakiwalipa Mastar hawa mapesa mengi sana ilimradi tu wakubali kupiga picha za utupu na kutokea katika majarida yao
baada ya rihanna kuwa gumzo katika majarida kadhaa huko marekani na nchi za ulaya Baadaye Kim kardashian Sasa ni zamu ya Bingwa Mara tano wa Wimbledon Venus William
Venus naye yumo kundini baada ya kukubali deal na kutokea akiwa mtupuuu kama uonavyo picha katika jarida la awamu ya 6 la ESPN la mwezi July