Ile shughuli nyingine ya akina mama ilioandaliwa na Maznat Bridal Akiadhimisha miaka kumi ya Huduma zake kwa maharusi wa kike “Maznat 10 Years Anniversary ” ndio hiyo imeahafika… Kama poster inavyojieleza Eneo la tukio siku na na dress code. Sehemu nyingine ya akina dada na mitoko yetu kukutana….
Rangi ya shughuli hiyoo ni Black unachanganyia na vikorombwezo vya Rangi hizo unazoziona hapo
Naam na hicho ndio kitenge cha shughuli ukipata hicho bhaaaas… Ukipata rangi za hivyo pia itakua ndo ubunifu zaidi.
Uwepo wako ndo ukamilifu wa shughuli yenyewe naambiwa Mzee Yusuf atawachesha kina mama hataree… Burudani kibao kuwepo beba flats usijesema hukuambiwa
Na kauli mbiu yetu siku hiyo ni
If you can dream it. You can do it. INAWEZEKANA