Kathy Griffin Na Marehemu Rivers walikuwa na mambo mengi sana yanayofanana, hvyo inaonekana kabisa atatoshea sana katika kiti cha Joan Rivers
Kwa Mujibu Wa Habari zilizotolewa na tandao wa TMZ, Mchekeshaji Huyo Anaandaliwa kurithi kiti cha Joan Rivers kama host wa kipindi alichokuwa anafanya cha Fashion Police katika Tv Ya E ya nchini Marekani
Kutoka TMZ
Kathy Griffin will be Joan Rivers’ replacement on “Fashion Police” … TMZ has learned. Sources connected with the show tell TMZ it’s a done deal. Kathy will join Melissa Rivers, Kelly Osbourne and Giuliana Rancic. We don’t know the fate of George Kotsiopoulos.
We’re told the show will no longer be a weekly series. E! will roll it out during awards shows and other occasions as event programming. One silver lining … the drapes will now match the carpet for sure.