Mellisa Edward
Picha ya Mrembo Mellis Edward aliyedakwa na madawa ya kulevya Afrika kusini akiwa na Agness Masogange
Inahisiwa kuwa huyu mwanamke wa pili aliyetajwa na Kamanda Nzowa kwa jina la “Melisa Edward” ni mdogo wake na Agnes ambaye katika akaunti ya facebook anayo tumia jina la (MELLIS EDWARD) , Agnes amemuweka katika orodha ya family kama ‘sister’ katika akaunti yake ya Facebook.
Kamanda Gofrey Nzowa – Kitengo cha Madawa ya Kulevya
Agness Masogange akiyahesabu “MAPESA” yake.Picha hii aliiweka siku chache zilizopita
Hizi show Off mara ingine ndio zinaponza hasaa, sasa hapo ila maana yake iwe nini? uchafu waki unaoufanya ni wewe mwenyewe na Mungu wako unaujua ini kuhususha watu wakati ukweli unaujua mwenyewe? hakika hakuna kitu kibaya kama kuidanganya nafsi yako.
sasa leo kikowapi baada ya maneno hayo aliyoyaandika hapo?
Ni bora wakati mwingine kukaa kimya na kumuomba Mw/Mungu akusitiri pamoja na mabaya unayofaya kuliko kudhihaki wakati unaujua ukweli.
Tujifunze kitu