Tazama Picha za Peter wa P’Square akiwa na baba yake mzazi wakati wa harusi yake ya kimila iliyofanyika mwishoni mwa wiki hii huko Nigeria, Peter amemuoa Mpenzi na mama watoto wake Lola muda mfupi kabla hajaja katika show inayotarajiwa kufanyika hapa TANZANIA jumamosi ya oct 23
Peter akiwa na baba yake mzazi Mzee Okoye katikati na mkee Lola
Peter kushoto akiwa na Baba yake anayemfuatia na Alhaj Aliko kama alivomtaja katika post yake
Zaidi Peter alipost Picha hii Ya Mke wake katika ukurasa wake wa Instagram na kuandika ‘Isn’t she luvly and beautiful??”
Ni wanaume wangapi wa bongo wanauthubutu huu wa kumsifia mke wake hadharani bila woga na kuonyesha thamani ya mke wake???
MAONI YAKO HAPA