Alikuwa kundi la Spice Girl, Alikuwa soka star, pamoja wameweka historia kwa watu maarufu, wana watoto wanne, na wote kwa sasa ni wanamitindo, Leo wanasherekea miaka 15 baada ya kufunga ndoa yao.
Ni vigumu sana usivutiwe na Victoria na David Beckham, Victoria ni msichana mzuri sana aliyekuwa kundi la Spice Girl akaamua kuwa mbunifu wa mitindo, mwanamke ambaye wanawake na wanaume wamekuwa wakimfuatilia kwa miaka mingi katika maisha yake.
Kipi zaidi kinavutia kuhusu wanandoa hawa ambao vyombo vya habari viliwapa jina la “Posh & Becks” mwaka 1997, mapenzi yalipojulikana na watu na jinsi walivyoyaongoza maisha ya ndoa pamoja na stories mbaya muda mwingine kuhusu wao zilizokuwemo lakini imedumu kwa miaka 15.
Kwa mara ya kwanza wanandoa hao walikutana kwenye kuchangia mchezo wa mpira (Charity soccer game) February 1997 huko London, Victoria alienda na mwenzake mmoja wa kundi la Spice Girls.
Na wakati hakujua kweli alikuwa ni nani, kwa sababu hapendi mpira sana, Victoria anakubali kabisa kwamba walivyokutana alimpenda siku hiyo hiyo.
David Beckham yeye alidata na Posh Spice baada ya kuona video ya wimbo wao akiwa amevaa catsuit kweney video hiyo na akamgeukia mchezaji mwenzake kutoka Manchester United Garry Neville na akamwambia kwamba unamuona Yule msichana pale nitamuoa.
Miaka 15 Ya Ndoa Ya Victoria Na David Beckham
Related Posts
-
-
Janet Jackson Avujna Ukimya Juu Ya Uvumi Kuhusu Kuwa Na Saratani
-
Kylie Jenner Baada Kufikisha Miaka 18, Hii Ndiyo Zawadi Aliyopewa
-
M to the P aungana na watanzania wengine Kumzika Ngwea Morogoro
-
Ally Choki: “NIKIFA ASHA BARAKA ASIJE KWENYE MSIBA WANGU” Kauli ya Lady Jay Dee Yajirudia
-
Baba Mzazi Wa Nick Cannon, Aliyekuwa Mume Wa Mariah Carey Aweka Wazi Madhaifu Ya Mkwewe Na Sababu Ambazo Inawezekana Zilisababisha Talaka Ya Mwanae
-
Hii Hapa Ni Oeodha Ya Washambuliaji 10 Bora Wa Wakati Wote