
Kama ni mzazi wa hivi karibuni na umejikatia tamaa kabisa baada ya masupu supu ya uzazi kwa ajili ya kum feed kichanga chako hujachelewa, baada ya miezi sita ile ya kunyonyesha mfululizo ili mtoto apate kinga nzuri unaweza anza mazoezi kurejesha umbo lako bora ili uendelee kuenjoy mwili wako na mwanao huku ukifrahis maisha
Kama ilivyo kwa msanii Ciara Ambaye nae anajivunia kurejesha mwili wake mara baada ya miezi kadhaa ya kujifungua, inahitaji umakini na maamuzi thabiti bila hivyo itakua ndoto
sio gharama wala nini, mazoezi sio lazima gym na diet sio lazima super market vyakula vyetu kutoka shamba ni vizuri zaidi, masoko kama buguruni,tandika, mwananyamala kuna vitu fresh kabisa kwa ajili ya diet…
mamboga mboga matunda kuku samaki ndio vyakula utakavyopaswa kula, manyama na mabia waachie vibayuwayuuuu
all the best
