Sio kama watu mnavyofikiria, Jennifer Lopez amesema yeye sio mwanamke anayependa kulala hovyo na wanaume tofauti tofauti, aliyasema hayo wakati anazungumzia kuhusu maisha yake ya kimahusiano tangu kuachana na Serengeti boy Casper Smart, J.Lo, 45, alimuambia Chelsea Handler wa kipindi cha Chelsea Lately kuwa anapenda kuwa kwenye mahusiano na kwamba Ame ABSTAIN Kuacha kufanya mapenzi tangu mahusiano yake hayo kuvunjika
“Napenda kuwa kwenyemahusiano,sio mtu ninayependa kufaya umalaya na mambo kama hayo,lazima niwe na muungano mzuri na mtu nimpandae naeleweka eeh??, Huwa siandai mipango, inajitokeza yenyewe, Labda tu nahitaji kuwa na mpango mzuri zaidi” alisema Jlo
Jlo na mpenzi wake Casper waliachana mwezi june baada ya kumfumania akiwa na mahusiano na Mwanaume mwenye matendo ya kike (shoga)