Davido alihudhuria baby shower ya baby mama wake wiki kadhaa zilizopita japo mwanamke huyo sophy momodu ameshajifungua mtoto wa kike wa msanii huyo
Aliyesambaza habari hizo ni Dele Momodu ambaye ni Binamu wa mama mtoto wa Davido, Sophie… alishare picha kupitia ukurasa wake wa instagram ukumuonyesha davido akiwa na baby mama wake pamoj anaye na kuandika
“Warmest congratulations to Mr David Adeleke Davido and my cousin Sophie Momodu on the birth of your beautiful daughter. May God always provide for you and protect your family… Stay blessed.”.
Chaajabu Davido amekuwa akishare picha za mwanamke tofauti anayetambulika kama mpenzi wake mpya Mguinea Sira kante anayeishi marekani na aliyeonekana katika tour yake yote ya marekani mwezi march mwaka huu
Hadithi Hii Inakuwa kama inaleta sintofahamu
mpaka davido kuonekana katika baby shower ya Mama mtoto wake inaonekana bado anamawasiliano na
mwanamke huyo
Kupitia ukurasa wake wa intsa gram davido alipost picha ambayo inaonyesha mkono wa mtoto na kidole chake bila ufafanuzi wa kutosha na kuzungumza kimafumbo kidogo