Hii inaitwa Welcome back TJ, Kwa pamoja mimi na nyie tunasema “Welcome back TJ”, baada ya mwaka mmoja kula pose lazima ulimmiss sana sauti ya mtoto mzuri TJ kwenye show kali kupitia Magic FM saa 7 mchana hadi saa 10 jioni on Dala DalaBeats
Kuanzia Jumatatu 23 Juni 2014 kinaanza kunuka tena, ndo maana Magic FM na wewe msikilizaji wa show hii kali tunasema kama Mase kwenye “Welcome Back” I know you like. TeeJay Akipokelewa kwa Furaha Magic Fm Na Wafanya Kazi Wenzie Kushoto ni Man Water MishB Tee Jay Allen Petter Kasiga And SalmaMsangi.com
Kama kawa TJ kwa Mic akiwa na Jimmy Jay, utapata stories kutoka pande zote za dunia na vitu vingine ambavyo vitakuwa ni surprise kwako wewe msikilizaji na utaenjoy 100% guarantee.
Kwenye mashine kama kawa taking care The Dala Dala Beats, ili upate kile unachotakiwa kusikia katika masikio yako kwa kupata ngoma kali zinazokick kote duniani, Ma maine maine The Scene Star Dj Tass. Kaa tayari kuanzia Jumatatu 23 Juni 2014. #TURN UP