Matumaini ya watu wengi kumuona mshiriki kutoka Afrika Mashariki ndani ya jumba la Big Brother Africa kuibuka na ushindi, yameshuka kwa kiasi kikubwa baada ya washiriki kutoka nchi mbili za Afrika Mashariki kutolewa nje ya jumba hilo.
Wiki moja baada ya washiriki Lillian kutoka Nigeria, Esther kutoka Uganda na Sabina kutoka Kenya kutolewa kwenye mjengo huo, Mtanzania Laveda aliyekuwa na mahusiano ya karibu na Permithias pamoja na Mkenya Alusa wamekutana na ‘rungu’ la kura lililowatupa nje ya jumba hilo.
Laveda anakuwa mshiriki wa sita wa jinsia ya kike kutolewa nje ya jumba la BBA huku Alusa akiwa ni mshiriki wa kwanza wa kiume kutolewa Big Brother Hotshots.
Mtanzania Levada Atolewa Big Brother Africa Hotshots
Previous Story
Tanzania Yaadhimisha Siku Ya Msanii
Related Posts
-
-
Video: Mcheza Cinema ChuckNorris Awatakia Heri Ya Sikukuu Ya ChrisMass Kwa Aina Yake
-
Navio Kuzindua Albamu Yake Ya “The Chosen” Akipigwa Tafu Na Avvio Smartphone
-
Tyga Amjibu Amber Rose Asema Hatoki Na Kylie Jenner
-
Ratiba ya Mazishi ya Msanii Langa kileo Aliyefariki Jana
-
Kivazi Cha Mpenzi Wa Zamani Wa Cristiano Ronaldo Chaleta Utata After Party Tuzo Za Oscar
-
Kim Kardashian Asukumwa Akiwa Paris Na Kanye West Kwenye “Fashion Week”