Mwenyekiti wa muda wa bunge la katiba Mhe.Pandu Kificho amemalazimika kuahirisha kikao cha semina ya wajumbe baada ya kutokea malumbano na vurugu kayi ya wajumbe wakati wa kupitia rasimu ya kanuni ya katiba..,
Malumbano hayo yaliibuka baada ya wajumbe kutoka Zanzibar ambaye pia ni waziri wa katiba ba sheria Mhe.Abubakar Bakari kuliambia bunge kuwa baadhi ya wajumbe kuwa wamepewa ruhusa ya kuleta marekebisho ambayo hayakuletwa kwenye kamati kwa wakati na kutaka wasipewe nafasi..,
Aidha baadhi ya wajumbe wamemlalamikia waziri wa sheria na katiba wa Zanzibar kwa kushinwda kuheshhimu kiti na kuanza kujibu mapigo hali iliyozidi kuleta mtafaruku katika semina hiyo..,