Miongoni wa wasanii ambao wanauhakika hawajaibiwa kabisa ni msanii wa muziki wa kizazi kipya bongo fleva Ally Kiba , Kupitia mtandao wake wa instagram Ally amepost Picha inayomuomyesha Mtoto wake wa kiume ambaye amefanana naye zaidi ya baba na mwana unaweza sema ni pacha wake, Ally haku caption chochote katika post hiyo lakini kwa kutazama tu wala hujiulizi mara mbili unaweza sema ni Ally Kiba akiwa Mdogo. hongera Ally kiba kwa kujizaa, Mungu akukuzie InsaAllah
2 Comments
hongera broo dizani vile ulijitoa kopi hafu ukaipeleka kwa God ili akutolee mtoto unayefanana naye.
daaaah..xaaaaana…..