Mtuhumiwa huyo ambaye jina lake halikuweza kufahamika alijimwagiia kinyesi kilichokuwa kwenye ndoo iliyokuwa ndani ya sero ya mahakama ya wilaya ya Nyamagana na askari alipokwenda kufunga ili kuwapeleka watuhumiwa kwenye chumba cha mahakama kusomewa kesi yake baada ya kutajwa na karani ndipo mahabusu huyo ndipo alipopata mwanya na kukimbia huku akitoa tahadhari kwamba atakaye mgusa atapata adha ya kupakwa kinyesi.
Mtuhumiwa akiwa chini ya ulinzi huku akizoa kinyeshi alichojipaka na kumwaga mwaga
ndipo askari wa kupambana na watuhumiwa ambao huwa wanatoa vija mbalimbali wakati wakiwa wanafanya jaribu la kutoroka ndipo askari huyo alimkimbiza na kumkamata na kumrudisha mahakamani hapo na kusomewa kosa la kutaka kutoroka na kukumbana na adhabu ya kifungo cha miezi 6 jela, huku kesi yake ya awali ikighairishwa
Mtuhumiwa huyo akizoa kinyesi hicho baada ya kukamatwa