Kuna Habari kwamba
Mtangazaji wa ITV, Ufo Saro (pichani) amepigwa risasi na kijana Mushi anayeripotiwa kuwa ni mume au mchumba wa mtangazaji huyo kwa mkujibu wa taarifa za awali mama mzazi wa Ufoo amepigwa risasi ya kifuani na kufa papo hapo leo alfajiri.
Mushi amempiga risasi ya tumbo na mguuni Ufuo ambaye mpaka sasa anaendelea na matibabu katika hospitali ya Tumbi Kibaha na tukio hili limetokea Kimara. Baada ya tukio hilo, Mushi alijipiga risasi kufa papo hapo.
SOURCE RADIO ONE
Habari zinasema sasa hivi zinasema kuwa Ufuo amekimbizwa katika hospitali ya Taifa Muhimbili kwa Matibabu zaidi.