Huyu Ni Muathirika wa Mkorogo feki, Jiulize hata hata kama mtu awe na personality nzuri kiasi gani na ngozi ka hii je atabaki kataki mtazamo ule ule au?
swala la ngozo kwa wadada jamani ni sheeda limekuwa likiwaathiri kisaikolojia kiasi kwamba kuvamia vipodozi ambayo havipo salama na hatimae kujiletea madhara makubw
swala la kukurupuka katika kutumia vipodozi na kutaka kutumia kila unachoona mwenzako ametumia na amekuwa mzuri kama unavyoamini ni kosa
Ngozi zinatofautina sana kwa hivyo product ya mwenzio inawezi isi suit ngozi yako na ndo maana ukifata wataalam watakushauri nini inahitajika katika ngozi yako kuliko kuvamia vamia vipodozi
kingine weupe sio ndio uzuri jamani mbona weusi ni mzuri tu tena sana kikubwa ni kujikubali na kujithamini other wise utakuwa mtumwa wa urembo mapa unaingi akaburini na hutaihi maisha ya furaha kabisa
Tafakari Chukua Hatua