Menyekiti wa jukwaa la wahariri na Muhariri Mkuu wa Habari Co-Operation Ndg. Absoloam Kibanda alie tekwa na kuteswa jana maeneo ya nyumbani kwake mbezi beach jijini Dar Es Salaam Amepelekwa Nchini Afrika ya Kusikini Kwa matibabu zaidi baada ya hali yake kuwa mbaya zaidi.
Ndg.Kibanda amepata majeraha upande wa nyuma wa kichwa na sehemu ya utosini pamoja na kunyofolewa kucha kutolewa meno manne na kutobolewa Jicho.
Jeshi la Polisi limeunda tume maalum ya kuchunguza tukio hilo, tume ni ya watu wa nne kutoka makao makuu na wengine kutoka kanda maalum.