Habari nzuri ni kwambamsanii wa NollyWood Mercy Johnson Okojie amepata mtoto wake wa pili wa kiume
Mercy alijifungua muda wa12.49am kwa saa za Marekani leo October 15th katika hospitali ya St Joseph Hospital, University of Maryland, Baltimore.
inaripotiwa kuwa Mama Na Mtoto wote Wanaendelea Vizuri
pongezi nyingi kwa Mercy Na mumewe