
Ni leo Numbani Lounge Ambapo Mkongwe wa muziki wa Bongo Flavour Lady Jay Dee atazindua Video yake Rasmi ya wimbo Joto Hasira aliomshirikisha mkongwe mwenzie Professor J
Hizi ni baadhi ya picha jinsi Jide atakavoonekana katika Video hiyo.
Photo credit: Sammisago.com
