
Mwanamitindo wa Tanzania Flaviana MatataAmeendelea kuiwakilisha Tanzania vizuri katika jukwaa la uana mitindo huko Marekana baada ya mara hii Kuvaa Vazi la Mbunifu Wa Mavazi maarufu na mashuhuru anayembunia mavazi mara nyingi Mama Mitchell Obama, Tracy Reese katika maonyesho ya mavazi ya New York Fashion Week Tracy Reese – Runway – Mercedes-Benz Fashion Week Spring 2014
Wanamitindo walipita katika RunWay wakionyesha mavazi tofauti tofauti ya mbunifu huyo huku Mwanamitindo wetu Flaviana Akiwa amavalishwa moja ya mtindo wa mavazi ambao Mke Wa Rais Wa Marekani Mitchell Obama hupendelea kuvaa tena vivazi hivyo vikiwa vimebuniwa na Mbunifu husika nayemvalisha Mama Huyo Tracy Reese
Tunakufurahia sana Flavianna, Tunajivunia kwa jinsi unavyotupaisha watanzania, Tunakuombea uwezaidi ya hapo ulipo

1 Comment
nasikia huyu binti nimwongo na nimchonganishi balaa,anamsema sana happy magese alafu anajichekesha akiwa naye.
flav kama ni kweli acha uongo