
Mwanamke Aliyehukumuiwa Kifo Meriam Ibrahim Akiwa Na Kichanga Chake Baada ya kujifungua
Tazama Picha Ya Awali kabisa kutoka kwa mwanamke Meriam Ibrahim aliyehukumiwa kifo Baaada Ya Kubadili Dini na Kuolewa Na mwanaume wa dini ya kikiristo
mwanamke huyo ambaye yupo jela kwa miezi minane sasa akisubiria hukumu yake ya kifo amejifungua mtoto wa kike aliyepewa jina la Maya
Inaripotiwa mwanamke huyo mwenye umri wa miaka 27 kajifungua amtoto wake wa kike akiwa jela baada ya kuhukumiwa akiwa mja mzito Taarifa zinaongeza Zaidi kuwa Mwanamke Huyo Alipatwa na uchungu
huku miguu yake ikiwa umefungwa
Daniel Wani, ambaye ni mume wa Meriam Ibrahim Akiwa na mtoto wake aliyezaliwa jela Hata Hivyo Mwanamke Huyo Amekata Rufaa ya Hukumu Hiyo
