
Taarifa Ambazo si za muda mrefu sana toka sasa zinathibitisha Kufariki kwa mwanamuziki nguli wa miondoko ya Dance Nchini Maalim Gurumo Aliyekuwa Amelwazwa katika hospital Ya Taifa ya Muhimbili Tangu Jana Bada Ya Kuzidiwa Na Kufikishwa Hospitalini Hapo.
Mzee Gurumo Amefariki leo mida ya saa Nne Asubuhi Baada ya Kuugua kwa Muda Mrefu
Mungu Ailaze Roho Ya Marehemu Mahali pea Peponi
Amen.
