Rais mstaafu wa Afrika Kusini Nelson Mandela amerudishwa tena Hospitali kutokana na kusumbuliwa na ugojwa wa Mapafu.
Mzee Madiba alifikishwa Hospital usiku jana, tukumbuke kuwa mzee madiba alilazwa tena mwezi December mwaka jana kwa aiku 18 hospital kwa maradhi hayo hayo.
Hata hivo taarifa za ndani zinasema Mzee Nelson anapatiwa matibabu mazuri kwa hali namali ili kumfanya arudie afya yake tena.
Wananchi wa Afrika Kusini Na dunia waombwa kumuombea mzee madiba apone haraka