
MTN imeungana na Navio kuitangaza simu ya “Avvio” wakati wa concert ya uzinduzi wa albamu yake siku ya kesho Jumamosi Desemba 12 pale Panamera bar na baadae itachezeshwa droo kwa ajili ya kushinda gari aina ya KIA sportage cars zikiwa tatu.
Albamu ya nne ya Navio inayoitwa “The Chosen” itazinduliwa rasmi pale kwenye club ya Panamera huko Kampala Jumamosi 12 Desemba 2015, milango itakuwa wazi kuanzia saa 1 usiku,hakuna kiingilio kilichotajwa malipo ya kuudhuria uzinduzi huo lakini mashabiki watahitajika kununua kinywajjji kwa coupon yenye thamani ya 10,000 mkwanja wa Uganda.
Kupitia promosheni hii,MTN inadhamiria kuwapatia wateja wake huduma za kuvutia ikiwemo, simu za bei nafuu zenye 3G,bundle la 50MB bure,unlimited SMS’s za bure,Milio ya miziki bure na kupiga simu kwa punguzo la hadi asilimia 100% na bundle la bure unaponunua simu mpya likiwa ni bundle kuanzia.
