
Usiku w jana Nicki Minaj alikuwa na bonge moja la party katika tuzo za Grammy wikiendi iliyoisha, yote haya yalionekana na kusikika kupitia vyombo vya habari mbalimbali ikiwemo 10AK! Jermaine Dupri alikuwepo, Busta Rhymes alikuwepo, Raekwon alikuwepo na of course Meek Mill na Nick Minaj.
Lakini katika ukweli wa maisha alikuwepo Baby, Wambeya wanaeleza kwamba Baby a.k.a Bird man alijaribu kuingia kwenye party lakini Birdman alikatazwa kuingia kwenye party hiyo kinoma noma lakini yote hayo ni heshima ya Nicki Minaj kwa Lil Wayne lakini huwezi kusema moja kwa moja kwamba Nicki Minaj ndiye aliyesema kwamba Baby azuiwe.
Pia inawezekana kwamba walioandaa party hawakutaka kitokee kitu chochote ndani ya party hiyo ambayo ingefanya beef iendelee kuwa kubwa kati ya Lil Wayne na Baby pia aangeweza kumuahribia Nicki kwa Lil Wyne kwa sababu Lil Wayne na Baby haziivi na Nicki anamuheshimu sana Wayne kwa hiyo Nicki angekuwa anamsnitch boss wake.
Siku za nyuma zilivuma stories kwamba Lil Wayne anamdai mkwanja Baby dola milioni 51 ikiwa ni pesa ambazo ni mchango wa Lil Wayne kwa YMCMB.
Endelea kutembelea www.salmamsangi.com kujua mchongo unavyoendelea kuhusu wakali hao.
