
Taarifa zinaeleza wawili hao wamekuwa wakikutana na kuendeleza ‘mambo’ yao.
Hamilton yuko Barbados katika michuano ya langalanga na Rihanna ametua huko kwa ajili ya zile sherehe maarufu kama inavyokuwa Carnival nchini Brazil.
Hivyo wamepata nafasi ya ‘kujipa raha’ wenyewe ingawa hakuna mmoja wao aliyepata nafasi ya kulizungumzia hilo.
