Serekali Kutoa Msaada Wa Kibinadamu kwa waathirika wa Mafuriko Morogoro
Rais Jakaya Kikwete amewapa pole na serikali imeanza kuuchukua hatua ikiwemo kutoa misaada ya kibinadamu kama chakula na ujenzi wa daraja.. Waziri mkuu Mizengo Pinda amesema hayo baada ya kutembelea eneo lililokumbwa na athari za mafuriko ikiwemo daraja la Magole linalokatiza mto Mkundi lililobomolewa na maji na kuonana na wananchi... Read More →
