Msanii Diamond Kuwasomesha Watoto Walioshinda kucheza Ngololo Mpaka Mwisho Wa Masomo Yao
Diamond ameamua kurudisha kwa Jamii kwa namna ya peke yake baada ya kuamua kutoa msaada wa kuwasomesha watoto wawili wakiume walioshinda kucheza wimbo wa My number one katika kipengele cha ngololo siku ya Tamasha la xmass lililofanyika leaders Club jijini Dar Es Salaam Diamond Amesema ameamua kuwapeleka watoto hao katika... Read More →
