Mjukuu Mtukutu Wa Hayati Nelson Mandela Mandla ,Kizimbani Kwa Kumshambulia Mwalimu
Inadaiwa Mjukuu wa Hayyati Nelson Mandela Mandla ambaye ni mjukuu wa kwanza wa mzee Madiba Mandela , alimshambulia mwalimu, Mlamli Ngudle na hata kumtisha kwa bunduki baada ya Mwalimu huyo kuligonga gari la mmoja wa marafiki zake mwaka jana, kesi hiyo imeahirishwa hadi Februari tarehe 24 baada ya kusikilizwa kwa... Read More →
