Moureen Julius (12) aibuka SUPA STAA wa shindano la “MO Kids Got Talent 2013″
Mtoto Moureen Julius(12), amejinyakulia kitita cha shilingi Milioni tano katika fainali za Shindano la “MO KIDS GOT TALENT 2013” lililofanyika kwenye hoteli ya Ledger Plaza Bahari beach lililoanza tarehe 25 hadi tarehe 28 mwezi huu ambapo fainali zilifanyika. Shindano hilo lilijumuisha watoto zaidi ya mia mbili ambapo kila mmoja alijipatia... Read More →
